šŸ’„ #TAFAKARI YA LEO; CHUKUA MAJUKUMU, USISUBIRI KUPEWA…

By | January 21, 2017
Hongera sana rafiki yangu kwa siku hii bora na ya kipekee sana ya leo. Ni nafasi nzuri kwetu ya kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo makubwa. Muda tulionao leo ni wa thamani sana, na hatuwezi kuupata tena baada ya muda huu kupita. Tutumie muda wetu wa leo vizuri

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: #TAFAKARI YA LEO

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz