💥 #TAFAKARI YA LEO; USIWE TAKWIMU….

By | January 31, 2017
Asubuhi njema rafiki, Hongera kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo ambapo tunapata nafasi nyingine ya kwenda kuweka juhudi kubwa kwenye kile ambacho tunafanya. Tutumie nafasi ya leo vizuri ili tuweze kufanya makubwa. Asubuhi ya leo tutafakari kuhusu takwimu. Zipo takwimu nyingi mno kwenye maisha ya kawaida. Mfano wa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In