šŸ’„ #TAFAKARI YA LEO; WAO WAMEFANYA NINI?

By | February 1, 2017
Hongera mwanamafanikio kwa siku hii nzuri sana ya leo. Hii ni nafasi nyingine nzuri kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora kabisa. Nguzo zetu kuu zikiwa NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA. Asubuhi ya leo tutafakari kuhusu wao wamefanya nini? Kila tunapopanga kufanya mambo makubwa, wapo watu wanaojitolea kutushauri

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: #TAFAKARI YA LEO

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz