FALSAFA MPYA YA MAISHA; Nani Atarithi Matatizo Na Changamoto Zako?

By | March 12, 2017
Habari za leo mwanafalsafa mwenzangu? Karibu tena kwenye makala yetu ya leo ya falsafa mpya ya maisha, ambapo kwa pamoja tunajenga falsafa ya kutuwezesha kuwa na maisha bora, yenye furaha na mafanikio makubwa. Najua unajua kwamba maisha yako ni jukumu lako, sahau kabisa kuhusu nani kafanya nini, bali jiulize unafanya

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: FALSAFA MPYA YA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz