💥 #TAFAKARI YA LEO; FANYA ZAIDI…

By | March 24, 2017
Ni siku nyingine nzuri sana ya leo rafiki, Siku ambayo jana uliita keshom na kujiambia yapo mambo ambayo ungeyafanya leo hii. Nakukumbusha tu kesho uliyoisema ndiyo leo na hivyo hakikisha unafanya ulichosema, usije kuahirisha tena leo. Leo nenda kaweke juhudi kubwa ili uweze kupata matokeo makubwa. Ni kwa NIDHAMU, UADILIFU

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: #TAFAKARI YA LEO

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz