💥 #TAFAKARI YA LEO; MATARAJIO NA UHALISIA…

By | April 16, 2017
Habari za asubuhi ya leo rafiki? Hii ni siku nyingine nzuri sana kwetu, ambapo tumepata nafasi nzuri ya kwenda kuweka juhudi kwenye kile tukichochagua kufanya, ili kuweza kupata matokeo bora na kufanikiwa sana. Leo ndiyo leo, na hakikisha kuna tofauti unaiweka siku hii ya leo. Msingi wetu ni NIDHAMU, UADILIFU

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In