FURSA NDANI YA TATIZO; Mambo Matano(05) Ya Kufanya Pale Unapokuwa Umekwama.

By | May 5, 2017
Waswahili wanasema, mipango siyo matumizi. Wakiwa na maana kwamba unaweza kupanga sana, lakini inapofika kwenye utekeleaji, mambo yanaweza kwenda tofauti na ulivyotegemea. Na kwa uzoefu wangu na wengine ambao nimekuwa nawaangalia, mara nyingi sana mambo huenda tofauti kabisa na mategemeo ambayo watu wanakuwa nayo. Inapofika hali kama hii, wengi hukata

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In