💥 #TAFAKARI YA LEO; MAMBO HAYATAKUWA MAZURI YENYEWE…

By | June 7, 2017
Hongera rafiki yangu kwa siku hii nzuri sana ya leo. Hii ni nafasi ya kipekee sana kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Msingi wetu ni NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA. Asubuhi ya leo tutafakari kuhusu MAMBO HAYATAKUWA MAZURI YENYEWE…. Watu wanapokuwa wanapitia changamoto mbalimbali, hufika mahali

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In