Uongo Huu Unaojiambia Kila Siku, Ni Adui Mkubwa Wa Mafanikio Yako.

By | August 1, 2017
Ni rahisi sana kufikiria kwamba adui mkubwa wa biashara yako ni washindani wako. Hivyo kuangalia namna ya kuwashinda na kuwaangusha ili uweze kufanikiwa kwenye biashara hiyo. Hapo ndipo wengi wanapokosea, kwa sababu wanajaribu kupambana na mtu ambaye siyo sahihi. Hivyo hata wapambane kiasi gani, bado hilo haliwasaidii. Kabla hujafikiria kwamba

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In