💥#TAFAKARI YA LEO; KAZI NZURI NA ISIYOCHOSHA…

By | August 13, 2017
MAKIRITA AMANI: Habari za asubuhi ya leo rafiki? Ni siku nyingine nzuri sana ya leo ambapo tumepata nafasi nzuri ya kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo makubwa. Msingi wetu ni NIDHAMU, UADILIFU na KUJITUMA ambapo tutaweza kufanya makubwa sana leo na kila siku. Asubuhi ya leo tutafakari kuhusu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: #TAFAKARI YA LEO

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz