BIASHARA LEO; Sehemu Ngumu Zaidi Ya Biashara Siyo Biashara Yenyewe, Bali Watu.

By | September 6, 2017
Kuendesha biashara kuna changamoto nyingi sana. Changamoto hizi zimewazuia wengi kuweza kukuza biashara zao na kufikia mafanikio makubwa. Changamoto hizi za biashara tunaweza kuzigawa kwenye makundi makuu mawili. Changamoto za kibiashara na changamoto za watu. Changamoto za kibiashara hizi ni zile za kawaida, mauzo, mzunguko wa fedha, mwenendo wa uchumi,

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In