UKURASA WA 1077; Mambo Madogo Yasiyo Na Hatia Yanapoanza Kuzalisha Hatia Kubwa…

By | December 12, 2017
Kuna mambo madogo madogo ambayo tunayafanya kila siku, ambayo hayana hatia kabisa, yaani ni mambo ya kawaida mno, ambayo haitujii kwenye akili zetu kwamba yanaweza kuwa na madhara makubwa kwenye maisha yetu. Kwa mfano kuianza siku yako kila siku kwa kusikiliza habari na matukio mbalimbali ambapo nyingi huwa ni hasi.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In