UKURASA WA 1156; Hivi Ndivyo Unavyoweza Kuutuliza Muda Wako Na Ukaenda Taratibu…

By | March 1, 2018
Kitu pekee ambacho kwa sasa kimekuwa adimu, ambacho hakimtoshi kila mtu, imekuwa siyo fedha kama wengi walivyokuwa wakilalamika, bali imekuwa muda. Siku za nyuma watu walikuwa wakisema matajiri wana fedha lakini hawana muda, na masikini wana muda lakini hawana fedha. Lakini sasa hivi, mambo yamebadilika, kila mtu hana muda na

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In