UKURASA WA 1169; Nini Kinaangusha Embe Mtini?

By | March 14, 2018
Embe likiiva kwenye mti, huwa linaanguka chini. Lakini je ni nini kinasababisha embe hilo kuanguka kutoka kwenye mti? Je ni kwa sababu dunia ina nguvu ya mvutano ambayo inafanya embe kuanguka chini? Kama ndivyo kwa nini halikuanguka wakati likiwa halijaiva? Je ni kwa sababu kikonyo kinachoshikilia embe hilo kinakuwa kimechoka?

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In