MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1181; Utapiamlo Wa Akili…
Tumezoea kusikia utapiamlo wa mwili, ambao huwa unasababishwa na kukosa virutubisho muhimu kwenye chakula, au kupata kwa wingi aina fulani ya virutubisho. Kwa mfano kama mtu atakosa protini kwenye chakula chake, hasa watoto, anapata kwashiakoo, huu ni utapiamlo. Lakini pia kama mtu atakula wanga (sukari) kwa wingi, mwili wake utapata