MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1184; Kikwazo Kikubwa Cha Kupiga Hatua Na Kufanikiwa…
Huwa tunawalalamikia wale wanaotuzunguka, tukiona kama wao ndiyo kikwazo cha sisi kushindwa kufanikiwa kwenye yale tunayotaka. Labda ni watu wanaopaswa kutupa vitu fulani na hawatupi, au ni watu ambao wanatutegemea zaidi kuliko uwezo wetu. Wakati mwingine tunaona mazingira tuliyopo ni kikwazo cha sisi kupiga hatua, pale mazingira yanaoonekana kukosa yale