MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1185; Kuumizwa Ni Kuchagua….
Watu huwa wanalalamika kuumizwa na watu au vitu wanavyopitia kwenye maisha yao. Lakini katika kila hali ambayo watu wanalalamikia inawaumiza, wapo wengine ambao wanaendelea na maisha yao vizuri bila ya kulalamika kuumizwa. Iwe ni kwenye mahusiano, kazi na hata biashara, kuumizwa ni kuchagua. Pale unapochagua kuangalia kile kinachokutokea kama ni