UKURASA WA 1206; Dakika Hizi Kumi Na Tano Unazitumia Kufanya Nini?

By | April 20, 2018
Kila mtu ana dakika kumi na tano anazopoteza kwenye siku yake, ndiyo, kila mtu na hasa wale utakaowasikia wakisema wapo bize na hawana muda kabisa. Yawezekana ni dakika kumi na tano moja unapoteza kwenye siku yako, au dakika kumi na tano nyingi unazipoteza kwenye nyakati tofauti tofauti za siku yako.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz