MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1247; Uhuru, Utu Na Utajiri…
Hivi ni vitu vitatu ambavyo kila mtu anavipigania, vitu vitatu ambavyo vinayafanya maisha ya yeyote kuwa bora sana. Kila mtu anapenda kuwa huru, kufanya maamuzi yake, kuendesha maisha yake, kufanya kile ambacho ni muhimu kwake. Lakini uhuru hauji bure, uhuru unahitaji kufanyiwa kazi na pia unakuja na majukumu. Wakati mwingine