MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1248; Kuwa ‘Bize’ Na Kuzalisha…
Ni vitu viwili tofauti kabisa, visivyo na uhusiano wa karibu. Wengi hufikiri wakiwa bize, wakionekana wana mambo mengi basi ndiyo wanakuwa na uzalishaji mkubwa. Lakini uhalisia ni kwamba, kuwa bize ni kiashiria cha uzalishaji mdogo. Watu wanaokuwa bize mara nyingi huwa wanashindwa kupangilia vipaumbele vyao, na hilo linawafanya kuwa na