MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1250; Kuna Maarifa Unayakosa…
Kama unajua kile unachotaka, na unaweka juhudi kubwa ili kuweza kukipata, lakini matokeo unayopata ni tofauti kabisa na matarajio, basi jua bila ya shaka yoyote kwamba kuna maarifa unakosa. Kuna kitu ambacho hukijui, ndiyo maana hupati kile ambacho unataka. Na wakati mwingine, kile unachojua kinaweza kuwa ndiyo kikwazo kwako kupata