MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1279; Kama Huoni Vitu Hivi Viwili Basi Haupo Hai…
Maisha yetu ni mkusanyiko wa matukio mbalimbali yanayotokea kwenye kila siku ya maisha yetu. Japokuwa tunaweza kuwa na lengo moja kubwa tunalofanyia kazi, lakini hatutaamka siku moja na kujikuta lengo limetimia. Badala yake kila siku tunapiga hatua kuelekea kwenye lengo lile kubwa. Sasa watu wengi huwa wanasahau maisha ya kila