1399; Nguvu Ni Muhimu Kuliko Akili…

By | October 30, 2018
Tofauti kubwa kati ya wale wanaofanikiwa na wanaoshindwa huwa haianzii kwenye akili, bali kwenye nguvu. Kuna kiwango fulani cha akili ukishakuwa nacho, basi kinatosha kwa mafanikio yako na hata mwenye akili kuliko wewe, hawezi kukushinda kwa sababu tu ya akili yake. Kwa mfano kama unaweza kusoma hapa, hii ina maana

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In