1434; Usianze Biashara Upya Kila Wakati…

By | December 4, 2018
Kosa kubwa ambalo wafanyabiashara wengi wanalifanya ni kuanza biashara zao upya kila wakati. Kila mara wanatafuta wateja wapya kama vile hawajulikani kabisa. Tatizo hili linatokana na wafanyabiashara wengi kukosa mpango endelevu wa kibiashara. Kwao biashara ni kutafuta wateja wapya kila wakati. Hivyo wakishamhudumia mteja wanayempata, wanaachana naye na kuanza kutafuta

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In