1436; Nidhamu Siyo Kitu Kigumu…

By | December 6, 2018
Msingi mkuu wa mafanikio umejengwa kwenye nidhamu, bila nidhamu hakuna hatua ambayo mtu anaweza kupiga. Bila nidhamu mipango mikubwa inabaki kuwa hadithi zisizotekelezeka. Wengi wamekuwa wazuri kwenye kupanga, lakini inapofika kwenye utekelezaji, wengi wamekuwa wanashindwa kuchukua hatua, wapo ambao hata hawaanzi kabisa. Lakini pia wapo ambao wanaanza na kuishia njiani.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In