1437; Jawabu La Hofu Ni Ujasiri…

By | December 7, 2018
Kama unasubiri usiwe na hofu kabisa ndiyo uweze kufanya unachotaka kufanya, hutaweza kupiga hatua yoyote kwenye maisha yako. Maisha yetu tangu tunapozaliwa, tumezungukwa na hofu, na kinachotuwezesha kupiga hatua siyo kusubiri hofu iondoke, bali kuwa na ujasiri wa kuchukua hatua licha ya hofu kuwepo. Kitendo tu cha kuzaliwa kimejawa na

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In