MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1541; Kinachojenga Au Kubomoa Maisha Yako Ni Kitu Hiki Kimoja…
Kuna kitu kimoja ambacho kina nguvu ya kujenga au kubomoa maisha yako. Kitu hicho ni mahusiano yako na watu mbalimbali kwenye maisha yako. Ubora wa mahusiano yako na wengine ndiyo ubora wa maisha yako. Yaani maisha yako yatakuwa bora kadiri mahusiano yako na wengine yanavyokuwa bora. Utakuwa na maisha bora