1618; Tatizo Siyo Kusema Ukweli, Tatizo Ni Unayempa Ukweli Huo…

By | June 6, 2019
Katika kusimamia ukweli, kuna vitu viwili ambavyo unapaswa kuvizingatia. Kitu cha kwanza ni ukweli unaopaswa kusemwa au kusimamiwa. Hapa lazima mtu aujue ukweli kwa hakika, na siyo kwa kukisia au kwa hisia. Kitu cha pili ni yule ambaye anapaswa kuambiwa ukweli, lazima awe tayari kupokea ukweli huo na kuufanyia kazi.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In