MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1658; Kila Mtu Ana Siku Mbaya…
Kosa kubwa tunalofanya kwenye maisha yetu na mwenendo wetu wa kila siku ni kujifikiria zaidi sisi wenyewe kuliko wengine. Kwa mfano wewe ukiwa unaumwa na kichwa unataka kila mtu aelewe ni maumivu kiasi gani unayapata. Lakini mtu mwingine anapokuambia anaumwa na kichwa ni rahisi kumwambia ajikaze au avumilie, hasa pale