1661; Fungua Milango…

By | July 19, 2019
Kiwango chako cha mafanikio kwenye maisha ni sawa sawa na kiasi cha milango unayofungua kwenye maisha, na siyo milango unayofunga. Unafungua milango pale unapokuwa tayari kwa fursa zinazoendana na kile unachofanya na kuhakikisha wale unaowalenga wanajua kuhusu uwepo wako na wanajua wanawezaje kunufaika na wewe. Unafunga milango pale unapokosa maandalizi

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In