1662; Leo Kama Jana Kama Kesho…

By | July 20, 2019
Tuna nyakati tatu, Wakati uliopita, huu umeshapita, hatuwezi kuubadili kwa namna yoyote ile. Ila tunaweza kujifunza kwenye wakati uliopita na kuwa bora zaidi leo na kesho. Wakati uliopo, huu ni wakati ulionao sasa, wakati pekee unaoweza kuutumia kufanya chochote unachotaka kufanya. Wakati ujao, huu ni wakati ambao bado hatujaufikia, hivyo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In