MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1675; Kuwa Makini Sana Na Watu Hawa…
Watu huwa hawapendi mtu apate kile kitu ambacho wao hawana. Hasa watu wa karibu au ambao mpo ngazi sawa, kwa sababu wewe ukipata kitu ambacho wao hawana, hilo litawafanya wao waonekane ni wazembe. Hivyo kama watu hawana fedha na utajiri, kwa hakika hawatataka wewe uwe na fedha na utajiri, kwa