1679; Mteja Wako Anachotaka Kutoka Kwako Ili Anunue Unachouza…

By | August 6, 2019
Kuna kitu kimoja nimekuwa nakiona kila ninapokuwa nawashawishi watu kununua bidhaa au huduma fulani. Wale watu ambao wanaonekana kama hawataki kununua, wanakuwa wabishi na wenye vikwazo mbalimbali, huwa wanakuwa ndiyo wanunuaji wazuri sana wa chochote unachouza. Watu hawa huwa wanaanza na ubishi na vikwazo kama njia ya kukupima wewe muuzaji.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In