1687; Wingi Wa Rasilimali Ni Kikwazo Kwa Mafanikio Yako…

By | August 14, 2019
Mtu mmoja amewahi kunukuliwa akisema kama una jukumu muhimu ambalo unataka lifanyike, basi tafuta mtu aliyetingwa (aliye bize) na mpe jukumu hiyo afanye. Ukimpa mtu aliyetingwa jukumu analitekeleza kwa haraka, ukimpa mtu ambaye hajatingwa, ambaye ana muda mwingi, jukumu hilo litachelewa kutekelezwa. Unaweza kuona iweje mtu ambaye tayari ametingwa ndiyo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In