1708; Maliza Kila Unachoanza…

By | September 4, 2019
Kupanga ni rahisi, kila mtu ana mipango mikubwa sana, hata kama hajui anawezaje kufikia mipango hiyo. Kuchukua hatua ni pagumu kidogo, ndiyo maana baadhi ya wale wengi wenye mipango ndiyo wanaochukua hatua kwenye mipango waliyonayo. Kumaliza kile ambacho mtu ameanza ni kugumu sana, ndiyo maana wachache sana kati ya wale

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In