1711; Kama Fedha Inaweza Kutatua, Siyo Tatizo…

By | September 7, 2019
Kulijua tatizo kwa undani ni nusu ya kulitatua. Watu wengi wanateseka na matatizo kwa sababu hawajatumia muda wao kuyajua kwa undani. Hivyo wanayaparamia, na kila hatua wanayochukua inazidi kufanya tatizo kuwa kubwa zaidi kuliko kulitatua. Hivyo unapojikuta kwenye tatizo, hatua ya kwanza kabisa ni kujua kwanza chanzo kikuu cha tatizo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In