1712; Mtu Muhimu Kuliko Wote Duniani…

By | September 8, 2019
Leo hii ukapewa nafasi ya kuwa na mazungumzo ya dakika kumi na raisi wa nchi, zitakuwa ni dakika kumi ambazo utaziwekeza kwenye mazungumzo hayo. Hutatumia muda huo kuangalia simu yako, au kuangalia nini kinaendelea kwenye mitandao. Hata kama utaruhusiwa kuwa na simu, lakini hata ikiita, utaipuuza, hutataka hata kujua nani

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In