MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1713; Jifunze Jinsi Ya Kufikiri Kwa Usahihi…
Zamani, wakati hakukuwa na fursa rahisi za kujifunza na kupata maarifa na taarifa, walioweza kukariri vitu vingi ndiyo walionekana kuwa na akili. Na ndiyo maana mfumo mzima wa elimu umejengwa kwenye kukariri, kwamba yule anayeweza kukariri kwa wingi na kujibu maswali ya mtihani ndiye aliyefaulu. Hili lilikuwa na mantiki kwa