1715; Na Mimi Pia…

By | September 11, 2019
Unajua kwa nini biashara nyingi zinaishia kushindwa? Ni kwa sababu waanzilishi wa biashara hizo hawana chochote cha tofauti cha kuwavutia wateja kwenda kununua kwenye biashara hizo. Kila kinachofanyika kwenye biashara hiyo ndiyo kinachofanyika kwenye biashara nyingine pia. Ni kama mkakati wao wa kununua ni kuwaambia wateja njooni mnunue kwangu, mteja

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In