1718; Ujuzi Pekee Usiopitwa Na Wakati…

By | September 14, 2019
Dunia inabadilika kwa kasi kubwa, Kadiri sayansi na teknolojia inavyokua, ndivyo kazi nyingi zinavyozidi kupotezwa kwenye soko la ajira. Na hata baadhi ya biashara zinapotezwa kabisa na ukuaji wa teknolojia. Tumekuwa tunaona jinsi ambavyo watu wanasoma na kukosa ajira, jinsi ambavyo makampuni yaliyokuwa maarufu zamani kwa kuzalisha bidhaa fulani yanavyopotea

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In