1727; Mmoja Lazima Anyamaze Kwanza, Na Unaweza Kuanza Wewe…

By | September 23, 2019
Pale ambapo watu wawili wanakuwa wamekwazana na wote wanaongea, msuguano unakuwa mkubwa na mawasiliano yanakuwa mabovu. Ni vigumu sana kusikilizana na kuelewana pale watu mnapokuwa mmeudhika na wote mnaongea. Ni lazima mtu mmoja anyamaze kwanza, mwingine aongee mpaka amalize na kisha kupeana nafasi ya kusikilizana. Hapo ndipo mawasiliano yanaweza kukamilika

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In