1732; Kuwa Makini Na Gharama Nyemelezi…

By | September 28, 2019
Unapokuwa huna fedha, huwa unakuwa na ubunifu mkubwa sana. Unakuwa na umakini mkubwa sana kwenye kila unachofanya. Unaziona njia za gharama rahisi za kufanya vitu na hata njia za bure kabisa. Unakuwa na mawazo mazuri ya kutunza fedha kidogo uliyonayo na unaitumia kwa yale ambayo ni muhimu tu. Kwa kifupi,

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In