1737; Watu Wasio Na Furaha…

By | October 3, 2019
Kwenye maisha yako, jihusishe na watu ambao tayari wana furaha kwa hali yoyote wanayopitia kwa wakati walionao. Na siyo watu wasiokuwa na furaha, kwa kuamini kwamba utaweza kuwapa furaha. Huwezi kumbadili mtu asiye na furaha akawa na furaha, kwa sababu kinachowakosesha furaha siyo kitu cha nje, bali kitu kilichopo ndani

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In