1740; Chakula Cha Akili Na Dawa Ya Roho…

By | October 6, 2019
Pale mambo yako yanapokuwa magumu, Pale unapokutana na changamoto kubwa na kuona kama huwezi kuvizuka. Pale malengo na mipango yako inashindikana na matokeo unayoyapata siyo uliyotarajia, Ndiyo wakati sahihi kwako kurejea kwenye chakula bora cha akili ambacho pia ni dawa ya roho yako. Chakula hicho ni vitabu, vitabu bora ambavyo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz