1743; Usiombe Maoni, Omba Ushauri…

By | October 9, 2019
Tabia moja tuliyonayo sisi binadamu ni kupenda kuonekana tunajua kitu ambacho wengine hawajui, na tunapopata nafasi ya kueleza kitu hicho, basi tunahakikisha tumeonesha kwamba tunajua kile ambacho wengine hawajui. Na tabia hii imekuwa na madhara makubwa kwa wengi, japo wale wanaoifanya wamekuwa hawajui madhara wanayosababisha kwa wengine. Zipo njia mbili

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In