1769; Hakuna Tatizo Jipya…

By | November 4, 2019
Watu wengine wanapokuwa na matatizo ni rahisi kuwafariji na kuwashauri kwamba wasijali mambo yatakwenda vizuri. Ila sisi wenyewe tunavyokuwa na tatizo kama hilo hilo, huwa tunaona kwetu ni la tofauti na hivyo ushauri kama ambao tulikuwa tunawapa wenzetu kwetu haufai. Hiyo ni kujidanganya. Hakuna tatizo jipya hapa duniani, matatizo ni

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In