1785; Kwa Mara Ya Kwanza…

By | November 20, 2019
Watu wote wanaojaribu kitu mara moja kisha wanaacha kwa sababu hawajapata matokeo waliyotegemea kupata wamekuwa wanajidanganya. Anza na wewe mwenyewe, je umewahi kununua kitu baada ya kukutana nacho kwa mara ya kwanza? Umewahi kumwamini mtu kwa mara ya kwanza anakuambia kitu? Majibu ni hapana, inakuchukua muda mpaka umwamini na kumwelewa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In