1786; Asili Ni Mwalimu Mzuri…

By | November 21, 2019
Nimekuwa nasema kama huna njia bora ya kujifunza kanuni za mafanikio, kama huna watu wazuri unaoweza kuwaiga na wakawa mamenta kwako, basi una mwalimu mzuri ambaye uko naye popote pale ulipo. Mwalimu huyo ni asili, huyu ni mwalimu mzuri sana kwako kujifunza kanuni za mafanikio, na ukiweza kuzifuata kama asili

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz