1802; Wateja Ulionao Sasa…

By | December 7, 2019
Ndiyo mgodi wa dhahabu kwako kuweza kukua na kufanikiwa zaidi kwenye maisha yako. Kila mtu ana wateja ambao tayari anao sasa, hata kama hayupo kwenye biashara. Kuna watu wanaokuamini kwa kitu fulani unachofanya, hata kama hawakulipi kwa wewe kufanya kitu hicho. Hao ndiyo wateja ulionao sasa. Na hao ndiyo unaoweza

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz