1816; Kama Ungekuwa Unalipa Ungefanya?

By | December 21, 2019
Hakuna kitu ambacho kinatuumiza zama hizi na kutuzuia kufanikiwa kama vitu vya bure. Tunaishi zama ambazo kuna huduma nyingi mno ambazo zinapatikana bure, na hivyo tunazipokea haraka na kujenga tabia ambazo zinatugharimu. Sehemu kubwa inayotuathiri ni kwenye mitandao ya kijamii. Mitandao yote mikubwa ni bure kabisa kutumia, ni wewe tu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In